Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,301
- 9,252
Ukifanya ibada mida hii hupati mtawanyiko wa mawazo akili inakuwa katika utulivu wa ajabu sana.
ndio mida yetu hiiHaya hayaaa,wazee wa Night shift.
Mmelala
Aha basi wacha tukesheBado mkuu ndio tunaamka sasa
Kabisa mzeeAha basi wacha tukeshe