min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,887
- 165,881
Hiyo hatari mkuu๐Na kitunguu saumu mixer pilipili mbuzi na maji ya kutosha mixer karoti na pembeni napika chapati ๐๐๐๐๐๐ค๐ค๐ค๐ค
Hiyo hatari mkuu๐Na kitunguu saumu mixer pilipili mbuzi na maji ya kutosha mixer karoti na pembeni napika chapati ๐๐๐๐๐๐ค๐ค๐ค๐ค
Zikinipanda dodoma sio mbali ๐๐๐Hiyo hatari mkuu๐
Aisee noo tajiri siwezi kukuteta hata kidogo ndugu yangu vijana wamekuambia uwongo haoVincenzo Jr imekuaje hiyo ID yako? Sijaelewa. Na eti ulikuwa unaniteta wapi tena? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Pole Mkuu ๐คNi hiyo hiyo kaka ,hiyo siwezi kuinywa tena haina maelewank mazuri na kichwa changu
Siwezi kumteta tajiri yangu hata kidogo ๐Vincenzo Jr imekuaje hiyo ID yako? Sijaelewa. Na eti ulikuwa unaniteta wapi tena? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nipo hai nashukuru sema usingizi no
Mambo magumu kitaa akili inaenda resiii. Yaani diet simple ya ugali maharage mpaka ukune kichwa....haya maisha bwanaPole mkuu kama kuna mambo yanazungusha ubongo
Naelewa brother japo hayaepukiki ndio maana tunaamka na kupambana tu hadi levels zitukubali. So Usiwaze champ mambo yatakaa fresh muda ukifikaMambo magumu kitaa akili inaenda resiii. Yaani diet simple ya ugali maharage mpaka ukune kichwa....haya maisha bwana
Tunatishana sasawale wa kufanya ibada, kumuita ibilisi au kuwanga ndio mida yenyewe