Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
0228
03:0101:56
Usingizi umekata nipo alone whisky nayo nehiii maclub mbali duuhhh nagaragaratuuu KATAAA NDOA
Pole mida hii usinywe pombe mkuu kula kukumoshi nafsi itatuliaUsingizi umekata nipo alone whisky nayo nehiii maclub mbali duuhhh nagaragaratuuu KATAAA NDOA
Sonona huwa inaanzaga hivi mkuu😅😅Life ni ubatili ngoja masaa matatu haya yaishe kukuche nikalewe tu , hakuna cha thamani hapa dunian aloo
🤣🤣🤣Watu hatulali vichwa vinakoroga nyie mnavuta shuka tu, haya Kazi kwenu sasa