JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Dah nimeamua kurudi home tuu maana mitaani hapaeleweki muda huu.
Ni wakati wa kushirikiana na kitanda sasaa
Tunachelewa kulala kisha tunawahi kulala.
Uzuri ni kwamba usingizi hauchagui pa kulala maana naweza kwenda Kariakoo nikasinzia nikiwa natembea na sitaanguka maana kwa nyomi ile nitakuwa nasukumwa tuu.
Sibebi mzigo wowote maana mkono mmoja utaziba nyuma na mwingine mbele simu naiweka pensi ya ndani simuamini mtu kwa mali zangu aina zoote.
Kariakoo usipobaishiwa utasachiwa.
Ya mbele usipokuwa makini utakuta haipoo. Chunga mizigo yako
 
01:52 Sina usingizi
IMG_20240903_015046_070.jpg
 
Back
Top Bottom