Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,192
Najiskia vibaya sana na hili baridi Leo 😂Mbona mapema
Najiskia vibaya sana na hili baridi Leo 😂Mbona mapema
2 kakaVincenzo Jr mmeshinda ngap
Nzuri hiyo mkuu2 kaka
Shukrani sana ndugu tukutane mwezi wa 10Nzuri hiyo mkuu
Mno mkuuShukrani sana ndugu tukutane mwezi wa 10
Asante
Msalimie nduguyo kutoka kaskazi mwa jangwa la TanzaniaAsante
Kula kongoro ya ngombe na ndizi za kuchemsha ,pilipili nyingi na safari baridi ,mda mwingne mkuu😁😁😁😁😁
Nimeacha pombe Mimi niliumwa hadi nikatoa damu puani kongoro mbona nakulaga kaka Tena umenikumbusha kesho nayapika kwenye pressure kuka Cc ephen_Kula kongoro ya ngombe na ndizi za kuchemsha ,pilipili nyingi na safari baridi ,mda mwingne mkuu😁😁😁😁😁
Umetimia mwezi kaka sijagusaAcha kama inakusumbua bro
Sure mkuu ,unapiga ka wine kila ukila ni nzuri mno kwenye digestion mkuuUmetimia mwezi kaka sijagusa
Nataka kujaribu kongoro kwenye pressure cooker sijui litaiva eti Fake P nipe MuongozoSure mkuu ,unapiga ka wine kila ukila ni nzuri mno kwenye digestion mkuu
Na kitunguu saumu mixer pilipili mbuzi na maji ya kutosha mixer karoti na pembeni napika chapati 😎😎😎😎😎🤟🤟🤟🤟Tupia tangawizi ya kutosha linaiva vuzuri tu