Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
2:16 Sina usingizi umeme umekata mbaya zaidi niko sober.
 
Anafanya akiwa usingizini, namweka Sawa baada ya dk 3 anarudia. Yaani lazima ahisi kuna kitu kipo hivyo kukitafuta kwa miguu, akikushika na mkono anatekenya yaani kama anakukuna softly
Dah..
Mwanzo nikajua mtoto wa kuzaa, kumbe demu!
Sasa broo, wasubiri nini kupeleka 🔥?!
Angalia usituangushe hukoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom