Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
Why 😀Ulivyoanza na jamani nikagoma kuendelea kusoma SIr😊😊😀
Why 😀Ulivyoanza na jamani nikagoma kuendelea kusoma SIr😊😊😀
Sasa hapo boss n yupi?hiyo ndo imefanya kuwa maboss
Uliandika wapiKaka mbona Niki andika Humu, kuwa atakaye tamani kujumuika namkaribisha nyumbani kwangu.
ni wewe albinSasa hapo boss n yupi?
We jichanganye na ushanipa mpaka kituo cha kushukiani wewe albin
Muite kubwa la manusu😂😂ni wewe albin
NAni aje akutane na kijeba Cha miraba 14, ndevu Osama aka some😂😀Sijui ni kitu gani kila nikialika rafikizo hawaniamini kabisa nimeamua kuwa najialika mwenyewe
Half american mbona nili karibisha wengi , hata kina Manyanza, Selikavu, Poor Brain toka Jana saa 6 usikuKaribuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Manyanza, Aaliyyah, Nuzulati, Half american, Poor Brain, Fake P, fundi bishoo, Poor Brain, Selikavu, adriz, @Vincenzo Jr
Tena ndevu nazipaka hina ile nyekundu. umeyakanyagaNAni aje akutane na kijeba Cha miraba 14, ndevu Osama aka some😂😀
Ni wapi na lini?Karibuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Manyanza, Aaliyyah, Nuzulati, Half american, Poor Brain, Fake P, fundi bishoo, Poor Brain, Selikavu, adriz
Ni kweli kabisa aiseeeeHalf american mbona nili karibisha wengi , hata kina Manyanza, Selikavu, Poor Brain toka Jana saa 6 usiku
Kulikuwa big party siku ya Leo, And jamaa baadhi wawili wame jumuika nami.Ni wapi na lini?
Haya bhana, sema abaya Zina wapendeza Baadhi ya wadada aisee🤗😊Tena ndevu nazipaka hina ile nyekundu. umeyakanyaga
Yani unanikaribisha pamoja na Poor Brain ?Half american mbona nili karibisha wengi , hata kina Manyanza, Selikavu, Poor Brain toka Jana saa 6 usiku
huyu officer anayekuita Afande wa zamu, ni Afisa Ugani au Kilimo? 😊😊😊😊MIMI: JAMBO AFANDE
OFFICER: JAMBO
OFFICER: AFANDE WA ZAMU NAKUKABIZI LINDO LIKIWA KAMILI LIZUNGUKIE KULIKAGUA
OFFICER: WAZI
MIMI: WAZI AFANDE
😊😊😊😊
Kwani ndugu yangu Poor Brain ana shida ipi 😂😂Yani unanikaribisha pamoja na Poor Brain ?
Tunavaa kujistiri hayo ya kupendeza sijasikia 😊😊😊😊Haya bhana, sema abaya Zina wapendeza Baadhi ya wadada aisee🤗😊