Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,262
- 49,202
😂😂😂View attachment 2959621
Waislam wenyewe wazuri lakini wachoyo 🤦🏼♂
😂😂😂View attachment 2959621
Waislam wenyewe wazuri lakini wachoyo 🤦🏼♂
Aaliyyah nitag ule Uzi wa umevaa Nini uturingishie, nataka ni selfike🤣😁
uje ufike ukae tu? heeeeAnatengeneza? Kwani ni mwaliko au watafuta mpishi?
Nitag ule Uzi wa Leo ume vaa nini, nataka niselfike 😆uje ufike ukae tu? heeee
siujui huo naujua ule mkongweNitag ule Uzi wa Leo ume vaa nini, nataka niselfike 😆
Ndio si mgeni mualikwauje ufike ukae tu? heeee
si ndo tunashirikiana tunajenga udugu chap chapNdio si mgeni mualikwa
Upo, mki upata naselfika Jobless 😂siujui huo naujua ule mkongwe
Udugu unajengwa kwa damusi ndo tunashirikiana tunajenga udugu chap chap
Sijakuta kitu BossUpo, mki upata naselfika Jobless 😂
elewa neno uduguUdugu unajengwa kwa damu
Nili futa, ime kaa mda mbona😊Sijakuta kitu Boss
Sitak kuelewaelewa neno udugu
Maanake nini anyway iko vizuriNili futa, ime kaa mda mbona😊
Pole usijari utaponaSitak kuelewa
Wachoyo we na boss wakoPole usijari utapona
Jamani it was for fun tu, beside Niko sehemu Kuna wadada Wana cheza na kuji shaua vizuri😊😊😀Maanake nini anyway iko vizuri
Kaka mbona Niki andika Humu, kuwa atakaye tamani kujumuika namkaribisha nyumbani kwangu.Wachoyo we na boss wako
hiyo ndo imefanya kuwa mabossWachoyo we na boss wako
Ulivyoanza na jamani nikagoma kuendelea kusoma SIr😊😊😀Jamani it was for fun tu, beside Niko sehemu Kuna wadada Wana cheza na kuji shaua vizuri😊😊😀