Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
Sijui niselfike 🤣😂, lazima ucheke kinyama 🤣😂Leo wanatumia smellproof kuzuia harufu isitoke nje na ikitoka inanukia ugali dona.
Sijui niselfike 🤣😂, lazima ucheke kinyama 🤣😂Leo wanatumia smellproof kuzuia harufu isitoke nje na ikitoka inanukia ugali dona.
kuna mwenzako amechangamka tayari amefata maelekezo tupo anatengeneza salad hapaLabda kama unamaanisha ile pilau nyingine.
Halafu sisi watu wazima usiku tunaweza kuutengeneza tu, mambo mengine yakaendelea,Usiogope kucomment mchana kuna wenzetu wapo nje ya Tanzania ni usiku muda...ivo akishtuka toka usingizini na kucomment usimshangae🥴✌️✌️
Ndo Mana sipendi sikukuu yoyote, wako slow ka Kobe wa porini😂🤣🤣.kuna mwenzako amechangamka tayari amefata maelekezo tupo anatengeneza salad hapa
Ivo yaan 🤒Halafu sisi watu wazima usiku tunaweza kuutengeneza tu, mambo mengine yakaendelea,
Sina mchango ooote kwa bedui wa kataa ndoa mimi mxiiiie 😂🤣🤣.Ndo Mana sipendi sikukuu yoyote, wako slow ka Kobe wa porini😂🤣🤣.
Imagine nawa angalia kwa hasira tu, kazi yangu ni kutafuna nyama Mara 3 tatu😂🤣
Ko Mimi bedui wa kataa ndoa aisee🤣😂Sina mchango ooote kwa bedui wa kataa ndoa mimi mxiiiie 😂🤣🤣.
Katibu wao si ndo wewe?Ko Mimi bedui wa kataa ndoa aisee🤣😂
Naam niite katibu mwenezi wa Sera za kataa ndoa 😁Katibu wao si ndo wewe?
Anatengeneza? Kwani ni mwaliko au watafuta mpishi?kuna mwenzako amechangamka tayari amefata maelekezo tupo anatengeneza salad hapa
Selfika mkimbizi weweSijui niselfike 🤣😂, lazima ucheke kinyama 🤣😂
Mmealikwa au niwaringishie😂😂😂
HahahaaaView attachment 2959621
Waislam wenyewe wazuri lakini wachoyo 🤦🏼♂
Vincenzo Jr Nitagini ule Uzi wa Leo ume vaa ni I, naselfika chap🤣😁Selfika mkimbizi wewe
Unitag na mimiVincenzo Jr Nitagini ule Uzi wa Leo ume vaa ni I, naselfika chap🤣😁