Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Sema neno mkuu👋👋
Sema neno mkuu👋👋
Mkuu waombee na wale wanaolinda mipaka ya nchi yetuNani yupo shift niombee Mungu afungue uchumi wake,madaktari mliopo zamu mnakazi kubwa kuokoa uhai wa binadamu Mungu awape maarifa mengi kuifanya kazi zenu vyema,
Hivi Broo The Icebreaker hua yupo Landon, kama vp atuconnect na dunia mana huku tunategema mafuta ya upako tu.Karibu Icebreaker leo ni mafuta day huku 😄😄😄😄😄
Na wale waliosimama mabarabarani ma kwenye kumbi za starehe, wakiwavizia watoto wa mama wakwe.Mkuu waombee na wale wanaolinda mipaka ya nchi yetu
Bantu Lady ongeza sauti mpaka shemej aamkeMimi ni msanii, mimi ni msanii.. 🎶🎶🎶🎶
Need an expert to teach mama mchunamgaji ajue kuna pua inalambwa,kuna kupakwa chocolate mwili mzima ila sio mafuta nitamtisha, naona unafaaa wewe Dahan na Bantu Lady[emoji23][emoji23][emoji23]Konki master
Unakula matunda au matundaaa😂😂😂Yaani mimi nimrchrla mpka njaa inaniuma hapa nakula matunda
Hao wapigwe radi wanatuletea UTI suguNa wale waliosimama mabarabarani ma kwenye kumbi za starehe, wakiwavizia watoto wa mama wakwe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wew hayo maombi hayapokelewi Mungu atachukua muda sana kunioa jibuNiombee nijue njia sahihi ya kuwashawishi watu pindi napo wapaka mafuta wasinisumbue kama huyu wa leo [emoji85] nimefumba macho
Mimi mkatoliki safi kabisa na Papa wetu juzi kalisemea jambo hilo. Mimi simo huko mchanga wa pwani, tena pwani ya Bagamoyo 💃💃💃💃Mnanishangaza sana, all topics to talk about, mmechagua huo ushoga au ndo kitu mnafanya??
Nishajidiss hadi mwenyewe msenge hukumbuki, unataka niue mende kwa bunduki.
Matundaaaaa nina tikikiti na mapeas akiniambia Intelligent businessman kuwa matamu sana ndio naonja hapaUnakula matunda au matundaaa😂😂😂
Ayo ni mawazo yako tuu mkuu.. Hujawai fanyiwa massage? 😂😂😂Mnanishangaza sana, all topics to talk about, mmechagua huo ushoga au ndo kitu mnafanya??
Nishajidiss hadi mwenyewe msenge hukumbuki, unataka niue mende kwa bunduki.
Basi niombee nijenge gorofa hapa jf[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wew hayo maombi hayapokelewi Mungu atachukua muda sana kunioa jibu
😂😂😂Kupakwa asali je? Atakubali au nae pia ataogopa? 😂😂Need an expert to teach mama mchunamgaji ajue kuna pua inalambwa,kuna kupakwa chocolate mwili mzima ila sio mafuta nitamtisha, naona unafaaa wewe Dahan na Bantu Lady