Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,799
- 6,374
Nipo hapa
Nipo hapa
Great, till 6:00Been up since 3
Tunakabidhi lindo au bado muda? 05:07Nipo hapa
Muda wa Morning glory tukabidhi lindo5:59
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muda wa Morning glory tukabidhi lindo
Usithubutu04:23 wacha jobless nitulie, kesho nikapitie mitaa ya kina To yeye au Bantu Lady, nione kitatokea Nini??
Barikiwa
😓Pole Sana ni Kama kubeba maji kwa tenga la nyanya.
Mkuu utaniletea mikosi na magonjwa ya presha
Yaani niwe mfano kutokana na nitakavyo angamia au sio[emoji23][emoji23][emoji23] embu oa basi hili wengine tuoe
Madam imeshapita hiyoo, nipo naandika pharagraph 2Usithubutu
Unahuzunika nini ??, Kama vipi tarehe za mishahara yenu imeshafika. Hivyo nisave hata ka aftatu tu nipike ugali na msusa.
Yaani niwe mfano kutokana na nitakavyo angamia au sio