Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kumbe upo kama mm safi hii [emoji91]Pole kwa kuchelewesha kuchangia Super Villain, Pamoja nipo nje ya muda kwenye huu uzi wetu ila nitajibu, nilipitiwa pasipo kuona hii hoja hapa nimepitia nikaiona,
Ni hivi nikupe sifa kwanza za wanadamu, sifa kuu ya mwanadamu hupendelea sana apewe attention mfano akiumwa umpe muda wako wa kutosha hata kama upo busy kiasi gani, hupendelea sana kuona anajaliwa kumpa pole pindi anapitia magumu, huependelea sana kuona anathaminiwa mfano zawadi..sasa tuongele zawadi, moja ya vitu mwanadamu yoyote ukifanya hufurahia ni pale unapompa zawadi ukiwa nazo kubwa mfano gari, nyumba unampa tu, ila zawadi ndogo ndogo huwa naona zina count sana mfano pipi, biscuti, keki, drinks, chocolate, nguo, raba, simu nk hivyo ni vitu vidogo sana lakini vina count sana kwa mtu unaempatia,
sasa ukirudi kwenye swali lako kumnunulia mpenzi wako PED ni kitu kizuri humjengea furaha sana kwanza anaamini sio rahisi kwa mwanaume ukaenda dukani ukaulizia ped, so kwa mtu unaempatia anathamini sana hilo, hata chupi ukipata nafasi unamnunulia tu mwenza wako, huwa ni jambo ambalo wanalipenda sana wakina dada, so jaribu utanipa mrejesho, huwa linatia faraja sana,
Yeah Kiswahili ni visodoVisodo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Anyway, nilishawahi kununuliwa and I felt so good. Inatia faraja na raha kuona mpenzi / rafiki yako anakujali [emoji6]
Mjini au hapa kijijini...!?
Alikuwa mtu poa sana huyo.Nimemshangaa
Me nishakuwaga nae wa hivyo. Alikuwa ni friend tu na hakuwahi niletea mambo za mtongozo labda kama muda wake ulikuwa bado ila kwa wakati ule he was just a friend
Alikuwa mtu poa sana huyo.
Ndio Kiswahili chake zinaitwa visodoHaha nimecheka jinsi ulivyoziita peds vipodo labda ndivyo vinavyoitwa kwa kiswahili fasaha. Whatever it is
Actually for me ni kawaida kumnunulia nimpendae chochote aniombacho kama kipo ndani ya uwezo wangu. I feel proud mwanamke akiniomba nimnunulie kitu, that's a one way of showing how I care about her kitu kuitwa "unachunwa" hiko kwangu hakipo ingawa kuna mipaka.
Binafsi nishanunua sana pedi hata kwa mdogo wangu wakuzaliwa tumbo moja.
Kumbe upo kama mm safi hii [emoji91]
Ndio Kiswahili chake zinaitwa visodo
Umetisha mzee wangu [emoji119] upo vizuri endelea hivyo hivyo [emoji91]
Kila zinapoisha naweka zingine. Muda huu zipo ndaniUnanunua mpaka saiz lakini au ndio toka emergency ujanunua tena?
Statement gani mtaalamWe utakua ni ka playboy sana statements yako inakufunga
[emoji23] [emoji23] Mambo mazuri hayo.Kila zinapoisha naweka zingine. Muda huu zipo ndani
Unasema ww mzee?[emoji848][emoji848][emoji848]
Aah wapi.!Following [emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo nn kwani?Umekuja kuwaje we jamaa!!
Nilikuambia [emoji23][emoji23]Uzi tayari.
Leo nipo kifala tu sina chochote cha kuangalia.My spy[emoji440]
Ww ulitaka shlng? Mtadanga saiz.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] laki 1 kweli? Hapanaaaah khaaaah