Nipo mkuu
Nipo mkuu
Kishingo upandeNa wewe unakimbia
umetisha mzee wa kazNipo...wakati nawasubiri wajumbe wafike ngoja niendelee ku'model hiki chumba huenda siku mtoto mzuri akaja kulala.
View attachment 1451375
View attachment 1451376
mkuu yaan unasemea kwa ambae mmesomea haya ma engineering au hata sis wenye interest tu?Sijawahi kutumia sketch mkuu..sijui kama sketch ni kwa ajili ya 2D au 3D. Ila kwa ninavyo fahamu mimi kwa 3D, hii ndo rahisi kwa kuanzia.
Please dont go...Kishingo upande
Afadhali umekuja mkuu2:58
Hizi gari Bwana jipange kama huko makete na Mfiriga hapo sahau kwenuHii ndiga Bongo ipo mzee wangu wala usibishe kabisa.
Hahahaha, ndio tunaweka maandalizi sawa