fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,873
- 24,476
Nawe umo [emoji23][emoji23]Mnavyojichukulia ndivyo mtachukuliwa hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe umo [emoji23][emoji23]Mnavyojichukulia ndivyo mtachukuliwa hivyo hivyo
Hahahaha
wapi ? Nipo
Hahahaha, walikua na hali ngumu
Hicho kitengo wala usihofu, nawe hakikisha maombi yanaenda sawaNitakua naongoza maombi, hakikisha usalama upo mkuu mambo ya kukanyagana yasitokee tena
Kwani ni nchi nzima au Dar tu.Hahahaha, nasikia MNA party jpili nchi nzima kwa kuishinda corona
Dar ndio Tanzania hy, jpili au j3 ndio Eid au?Kwani ni nchi nzima au Dar tu.
Afu jumapili Eid [emoji847]
Basi wengine tuko Kenya huku 😀Dar ndio Tanzania hy, jpili au j3 ndio Eid au?
Hahahaha, nyie huko hkn partyBasi wengine tuko Kenya huku [emoji3]
Leo chungu cha 26. Nitafurahi sana ikidondokea juma3
Party zetu tutafanyia ndani kuepuka mikusanyiko.Hahahaha, nyie huko hkn party
Tatizo waislamu sikukuu zao ni ana ana do
Hahahaha, house party ,dah hizi ndio party sasaParty zetu tutafanyia ndani kuepuka mikusanyiko.
Ana ana do imedondokea jumapili [emoji3]
Ndiyoo, karibuHahahaha, house party ,dah hizi ndio party sasa
Jpili imekaa vzr
Hahahaha, nakuja niambie nibebe nn ? Halafu nakuja WhatsApp namba si ile ile ? Tuyajenge khs jpiliNdiyoo, karibu