Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,379
- 95,769
Hahahaha[emoji28][emoji28] Walinzi
mama wawili
Hahahaha[emoji28][emoji28] Walinzi
mama wawili
Tajiri wangu unaeniweka mjini bila ya wewe siwezi kuvimba mjini hapa etiHahahaha
Hahahaha, umechelewa lindoTajiri wangu unaeniweka mjini bila ya wewe siwezi kuvimba mjini hapa eti
mama wawili
Shukrani sana, na kwako piaHave a blessed day walinzi wote. Sasa tukajilinde na coronavirus 😷😷
Kwa maombi, barakoa, majitiririka na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazma
Hahahaha, nasikia MNA party jpili nchi nzima kwa kuishinda coronaHave a blessed day walinzi wote. Sasa tukajilinde na coronavirus [emoji40][emoji40]
Kwa maombi, barakoa, majitiririka na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazma
Kuwa makini tena makini haswa.Have a blessed day walinzi wote. Sasa tukajilinde na coronavirus 😷😷
Kwa maombi, barakoa, majitiririka na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazma
Kauli yake inasikika Dar tu.Hahahaha, nasikia MNA party jpili nchi nzima kwa kuishinda corona
Hahahaha, hilo bata ni la watu wa dar tu? Means dar corona hkn ,huko kwingineKauli yake inasikika Dar tu.
0412
Hahahaha, kamati ya ulinzi , usalama na usafiri ,wewe jeTena tu maandalizi yanaanza leo mtu chake [emoji16][emoji16] wewe uko kamati gani?
Mi wala sihusiki na disco lake. Ila kuna pumbavu watajiachia tu. Dunia sijui inatuchukuliaje! [emoji848]Hahahaha, hilo bata ni la watu wa dar tu? Means dar corona hkn ,huko kwingine
Mnavyojichukulia ndivyo mtachukuliwa hivyo hivyoMi wala sihusiki na disco lake. Ila kuna pumbavu watajiachia tu. Dunia sijui inatuchukuliaje! [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu. Lazima upashe misuliHahahaha, ndio tunaweka maandalizi sawa