[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo je?Jibu ni bakhresa kumbe tofauti na huyo leta mwingine
Lazima atakua panya wakiarabu kapewa msaada huko kiijiji dubai
Mzee hili kopo ni la 2017 AMG G TR hakuna tatizo mbona mtu akiown.Nina doubt kwa Sababu
Kuna Petrol head Fran hivi anaedit vibaya Sana(Ni Graphics designer)ntakuonesha video Aliedit mclaren bongo imepaki, video ilitrend Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tuko yard mzee wangu [emoji23][emoji23]Usiku mwema walinzi
Gari ya 90 na ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo je? View attachment 1454564
Naona mnazungumzia dream cars.. nataka nilale ili niziendeshe mlizopost ndotoniLeo tuko yard mzee wangu [emoji23][emoji23]
Hao ni Panic at the Disco.....Frozen- in to the unknown[emoji445]
Wenye hela wote tunawaita wazee wa migodi [emoji4]
Haaa jaribu kutafuta ukimpata tujulishe lakini ukimkosa mfungulie uzi tu lazima aje.Napiga misele kila sredi Kuna mod nimemzimikia na simuoni leo akikatiza mitaa.
Hawa watu ni wabishi hatari nimechoka kubishana nao sasa [emoji119]Naona mnazungumzia dream cars.. nataka nilale ili niziendeshe mlizopost ndotoni
Wewe snitch wa cookie..si umtag tuHaaa jaribu kutafuta ukimpata tujulishe lakini ukimkosa mfungulie uzi tu lazima aje.
we nakujua vizuri tu hata unisumbui kichwa sita zungumzia tena magari leo inatosha sasa.Gari ya 90 na ngapi
Nilimuona Jana nikaona nimlie taimin.Haaa jaribu kutafuta ukimpata tujulishe lakini ukimkosa mfungulie uzi tu lazima aje.
Sijamjua kwanza mod anayezungumza kwani Cookie ni mod peke yake humu si wapo wengi tu?Wewe snitch wa cookie..si umtag tu
Ngoja nimuangalie kama yupo online kwanza.Nilimuona Jana nikaona nimlie taimin.
Sasa Leo simuoni.
Argh acha tuendelee na ziara ya Yard nitamvizia siku ingine.
Wewe na Nani Mkuu Hahahahh [emoji13]Wenye hela wote tunawaita wazee wa migodi [emoji4]