Ni kweli hata Konyagi. Most of the vodka and spirit liquors zinapoteza kumbukumbu, Yaani ukiona yale matukio ya jana hayajipangi vizuri kichwani alafu unakuwa mropokaji ropokaji kama ukiamka na hang overI heard kwa friends wanywaji kua k vant inapoteza kumbukumbu
[emoji23][emoji23][emoji23]na bdo mnakunywa tuNi kweli hata Konyagi. Most of the vodka and spirit liquors zinapoteza kumbukumbu, Yaani ukiona yale matukio ya jana hayajipangi vizuri kichwani alafu unakuwa mropokaji ropokaji kama ukiamka na hang over
Mi bia and sometimes whiskey occasionally.Mm natumia sana whiskey!..bia zinanishinda kabisa, lazima uwe na kiasi ukizidisha ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha we unakunywa kinywaji gani?[emoji23][emoji23][emoji23]na bdo mnakunywa tu
Maji yanatoshaHaha we unakunywa kinywaji gani?
Bia...hizo maramoja moja kama kuna kampani alafu watu wamesuggest tumdondoshe mnyama
Noma hii mkuu😂😂😂Yaaaaaaaah 'Pingu'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli dunia uwanja wa fujo.[emoji124][emoji124][emoji124]
Sent using [emoji106]
Mnyama simba auHaha we unakunywa kinywaji gani?
Bia...hizo maramoja moja kama kuna kampani alafu watu wamesuggest tumdondoshe mnyama
Aaah mrembo Yaani nikutoe out alafu uishie kunywa maji tu? 😉Maji yanatosha
warevi washaelewa😂😂Mnyama simba au
Aiseeee imekaa vyema hiiStay with me 'cause
It's time to say goodbye
But don't leave me alone, just stay for the night
I need you, I need you tonight
Baby, you know that it's time to say goodbye
But don't leave me alone, just stay for the night
I need you, I need you tonight 🌷
Eeh hata soup ya pweza nakunywa[emoji23][emoji23][emoji23]Aaah mrembo Yaani nikutoe out alafu uishie kunywa maji tu? [emoji6]
....samaalekoooo waungwanaEeh hata soup ya pweza nakunywa[emoji23][emoji23][emoji23]