Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Hahaha kidari ni nn kwenye mwili wa binadamu .Labda nikupe kidari changu ukipige ngumi ndo ntaamini [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kidari ni nn kwenye mwili wa binadamu .Labda nikupe kidari changu ukipige ngumi ndo ntaamini [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka uniambie kifo chake alikufaje unielezee. Sio unipe link nilijua tu mtatumia image search
Pole sana kama hukuangalia second chance 😂😂Hizo nilikuwa naangalia ila nmeenda boarding nikiwa grade three
Hivyo vingi vimenipita .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri jibu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishindwa sema nitoe mjii..asphyxiation ndo nini?
Mbona hela zako kama vile zinakua ngumu kutoka
siku yako ipo furahi tu leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani..khaaa!!
Nimeiona hiyo kipande chakePole sana kama hukuangalia second chance [emoji23][emoji23]
Yes nipo
Zawadi itatolewa kwa atakayeniambia huyu ni nani na kifo chake kilikua kipi.
View attachment 1440002
🤣🤣🤣🤣🤣🤣siku yako ipo furahi tu leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Okay siwezi kufanya hivyoKwenye mbavu mbavu kifua kinachoshilia kipapatio
Ilivuma kiasi na wa boarding si mkirudi home lazma mtuulize tuliobaki
Kwani mm ni nani nisiombe udhamini kwa maboss kama nyie mwenzi mtukufu ujue huu [emoji41][emoji38] ww mchongo utatikije babuu
Ww umejaza shehena halafu unanichoora
Hiyo asphyxiation ni nini.?David Carradine ni actor alikufa kwa kujinyonga...ila baadae madaktari wakasema kafa kwa Asphyxiation
Sitaki hata mia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana dearYes nipo
Una task yakunipa[emoji4][emoji4][emoji4]?!