Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Dedication [emoji39]
Kama upo kazini tafuta likizo hata uende kukaa nae muda mfupi .Bado yupo hai ila maisha yoye sijawahi kumuinjoi ipasavyo. Nakua natenganishwa nae automatically
[emoji4][emoji4][emoji4] i feel u
Kama kuna hela niambie nitoe maelezo faster.Zawadi itatolewa kwa atakayeniambia huyu ni nani na kifo chake kilikua kipi.
View attachment 1440002
Ww kibakaAcha nikae kimya tu [emoji23]
We bei watu tuingie googleZawadi itatolewa kwa atakayeniambia huyu ni nani na kifo chake kilikua kipi.
View attachment 1440002
Natoa 5000Kama kuna hela niambie nitoe maelezo faster.
Ule mchongo haujatiki tu [emoji23][emoji23]Ww kibaka
😂😂😂😂Acha nikae kimya tu 😂
Hizo nilikuwa naangalia ila nmeenda boarding nikiwa grade threeKilikuwa kinaoneshwa usiku kama mida ya taarifa ya saa tatu, itakuwa ulikuwa unaangalia telenovela za ITV na channel ten
Dollar 3We bei watu tuingie google
Huyu ni mikito mikitoZawadi itatolewa kwa atakayeniambia huyu ni nani na kifo chake kilikua kipi.
View attachment 1440002
😂😂😂😂😂😂😂Huyu ni mikito mikito
Kwa wale wa kwenye uzi wetu pendwa nafikiri watakuwa wamenielewa
[emoji23][emoji23][emoji23] Unazingua ww hutatoa hiyo hela unanijaza tu.Natoa 5000