simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
I miss you mom whenever i watch this song
View attachment 1439996
Umenipeleka home.. thanks Mkuu
I miss you mom whenever i watch this song
View attachment 1439996
Hili gonjwa bado halijashika kasi kiviile, utafika muda watu wataacha kujikusanya kusanya wenyewe bila kushurutishwa, twende tuWatu wapo busy na mafusho plus tangawizi na malimao mkuu.
Thanks too mkuu..I really miss her.Umenipeleka home.. thanks Mkuu
Inapendeza.Mungu ni mwema wakati wote. Wako vyema
Hahaha mlokole yaani usinikumbushe na zile nyimbo .Hiyo Tv kidogo inigeuze mlokole na hivi dom ilikuwa ni free channel kama kumbukumbu zangu zipo sahihi [emoji23]
Dar pande za Tabata Kimanga. Ni kutochukulia mambo serious tu kwasababu bado halijagusa majumbani mwaoSijui tuseme ni ignorance au kutochukulia kitu serious ...
Ni Dar au mkoa gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa babe vp
Nipo jambazi kuu vpGody upo mdada
Let's enjoy here. Ila kwa mnaosubiri daku mna advantage😊Inapendeza.
hahaaa nilikuwa nakipenda kile kipindi cha shuhuda maana kila mdada alikuwa malkia wa majini hadi nkajiuliza huko ujinini pakoje na utawala wakeHahaha mlokole yaani usinikumbushe na zile nyimbo .
Ilikuwa free ndio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo mambo yalivyo huku kwetu BongoDar pande za Tabata Kimanga. Ni kutochukulia mambo serious tu kwasababu bado halijagusa majumbani mwao
Acha nicheke 😂😂Nipo jambazi kuu vp
Thanks too mkuu..I really miss her.
Mashairi yake ni ya moto [emoji91]Kawimbo katam
Sawa mpendwaLet's enjoy here. Ila kwa mnaosubiri damu mna advantage😊
Inafikia muda unaona bora waguswe tu ili wajifunze though it's like cursing themNdivyo mambo yalivyo huku kwetu Bongo
Watu ni matomaso hatari mpaka yawakute ndo wanaamini .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka uishi bongo bila stress bhasi uwaache watu waishi watakavyo.. hali inasikitisha maana wengi wanaamini ni ugonjwa kama mafua mengineHili gonjwa bado halijashika kasi kiviile, utafika muda watu wataacha kujikusanya kusanya wenyewe bila kushurutishwa, twende tu