bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Ila nikuulize ka kitu kale kakufuli pale kwa mlango mbona kagumu hakafojiki nimejaribu tufunguo twingi ila wapi hv ni kasolex au aina gani.Kwakweli acha tu niimarishe mbavu zangu
Ahsante Sana
Sent using Jamii Forums mobile app