bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
ndio nipo huku huku Burigi kwa mzeeNawewe waishi madongo kuinama?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio nipo huku huku Burigi kwa mzeeNawewe waishi madongo kuinama?
Aaiyaaa!!! Sasa mbona Mimi nilishahama huko
Hahahaha wenzio wanakimbilia kuja kununua viwanja huku we umekimbia...Aaiyaaa!!! Sasa mbona Mimi nilishahama huko
Mkuu lindoni kifo kinaogopa bundukiUkiwa lindo hata kifo kinakuogopa
ha ha ha ukihisi kitu kinataka kukukaba koo unakipiga ngumi
Hehehehe huko nitakuja uzeeniHahahaha wenzio wanakimbilia kuja kununua viwanja huku we umekimbia...
Unajua nilianza kukufahamu kwenye uzi flani wa mtoto aliyechapwa fimbo hadi akafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huyuhuyu.Hehehehe huko nitakuja uzeeni
Mimi huyo?
YesWewe huyuhuyu.
Hv hili jina ni kwamba ulimpenda sana Yna wa Angelo au vp?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂
Huwa nakumbukaga tu pale baba yake alipokuwa amekufa wakawa wamekaa na maiti ndani kwao anamuimbia babaYes
Nilimpenda sana
😂😂Jamani..hivi Kuna machozi ya sauti??Huwa nakumbukaga tu pale baba yake alipokuwa amekufa wakawa wamekaa na maiti ndani kwao anamuimbia baba
"Sleep now,Father sleep now "
Aisee nilitokwa na chozi eti japo sio la sauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Machozi ya sauti si yale ya kwenu nyie wanawake yale ya[emoji23][emoji23]Jamani..hivi Kuna machozi ya sauti??
Ilisikitisha Sana ila unakumbukumbu sana
😂😂😂😂Machozi ya sauti si yale ya kwenu nyie wanawake yale ya
"Uwiiiiiii baba Ambangile umeniacha na nani sasa,hawa watoto nitalea na nani mm mwana wa Mwakibete"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha cheka sana bibie walau inaongeza uimara wa mbavu zako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mkaka embu acha vunja mbavu zangu usiku wote huu
Kwakweli acha tu niimarishe mbavu zanguHahahahaha cheka sana bibie walau inaongeza uimara wa mbavu zako..
Kucheka hakuwezi kuzivunja isipokuwa ukiwa unabeba vitu vizito,[emoji1324][emoji1324][emoji1324][emoji1324]
Sent using Jamii Forums mobile app