Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,517
- 96,070
hapana nimebaki kwako daima milele, sina ujanja wowote kwakonibaki mara ngapi wakati wewe ndo unaruka ruka kama mahindi ya popcorn
hapana nimebaki kwako daima milele, sina ujanja wowote kwakonibaki mara ngapi wakati wewe ndo unaruka ruka kama mahindi ya popcorn
ndiokunyimwa ?
😄😄😄😄 okhapana nimebaki kwako daima milele, sina ujanja wowote kwako
very serious nimebaki hapa kwako,sasa ukiniacha solemba wewe😄😄😄😄 ok
dah we acha tundio
😅very serious nimebaki hapa kwako,sasa ukiniacha solemba wewe
Shikamoonjoeni tuchart
.marhabaa dogo haujamboShikamoo
Sijambo nataka pipi 🥹.marhabaa dogo haujambo
pipi ya kijiti au pipi kifua😆Sijambo nataka pipi 🥹
Pipi ya kijitipipi ya kijiti au pipi kifua😆
pipi ya kijiti si umuombe marco😆😆😆Pipi ya kijiti
Hivi upo wapi now
Muone huyu 🤣🤣pipi ya kijiti si umuombe marco😆😆😆
Njaa inauma nije ?nipo nyumbani
huyu amefanyaje😄😄😄Muone huyu 🤣🤣
Njaa inauma nije ?
Uchoyooohuyu amefanyaje😄😄😄
sijapika nipo kwenye mfungo 5 kavu😎😎
kweli vile😢,, basi njoo jioni mda wa kufuturu tunywe uji wa pilipili😜Uchoyooo
Shenziiii binti🥹😢🤣kweli vile😢,, basi njoo jioni mda wa kufuturu tunywe uji wa pilipili😜