JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahah hapo ukiingia vibaya unaweza teleza pingili za kiuno zikateguka mzee

dodge
Nadhani hata complains zitakuwa zinatolewa na wafanya usafi. Labda mmoja ashawahi piga kichwa chini. Nakumbuka nilipokuwa shule ya bweni ukienda sehemu ya kukojolea unakuta mautelezi mazito meupe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah kama kuna majini mahaba ya kike huko chooni basi yatakua yalikua yanawafaidi kichizi.

Back
Top Bottom