Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Dah kabechi noma mzee.Daah bamia fresh kabisa,lkn nyanya chungu sijui bilinganya,kabechi aisee hapo changamoto mkuu.
dodge
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kabechi noma mzee.Daah bamia fresh kabisa,lkn nyanya chungu sijui bilinganya,kabechi aisee hapo changamoto mkuu.
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona nije na strong arguments ambazo zitasupport na kutetea findings zangu.Hahah daah hapo naona umefanya critical analysis/thinking
dodge
Kuna mto tulikuwa tunaoga juu, jamaa wapo busy kufanya mashindano ya nani atawahi kucheuwa, halafu zile zinakwenda na maji huko chini wanaogaga mademu. Unaweza kuta kuna waliokuwa wanapata ujauzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hataki lawama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetoa warning [emoji615] kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ile ina wenyewe mzee baba.
Harufu yake tu ile ni kisanga.
dodge
Kuna moja nimeicheki juzi kwenye Emirates nikaona kama Will alikuwa very serious na ile movie tofauti na nyingine. Inaitwa Gemin man.Hahah nitaichek mkuu maana wale machizi(Will&Martin) najua wanajua kazi yao.
dodge
Wish you the same, ingawa kwangu ndio kwanza jua linaelekea kuzama.A guy is Da'Vinci of JF and I'm going to Sleep. Wish you good night
[emoji23][emoji23][emoji23] kakosea sasa alitakiwa aweke na guide ya Age ndio hiyo warning inafanya kazi.
Naijua ni ya last year.Kuna moja nimeicheki juzi kwenye Emirates nikaona kama Will alikuwa very serious na ile movie tofauti na nyingine. Inaitwa Gemin man.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja nimeicheki juzi kwenye Emirates nikaona kama Will alikuwa very serious na ile movie tofauti na nyingine. Inaitwa Gemin man.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa ukapimwe sio mzima. Kande mwenyewe sizipendi kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa ukapimwe sio mzima. Kande mwenyewe sizipendi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mm drama ndio siwezi kuangalia tu.Niliichek majuzi juzi hapa,mi actions,comedy zinazoeleweka,adventures ndio napenda lkn hizi mambo za Sci-fi,star wars dah hizo zilishanishinda mkuu.
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23] kakosea sasa alitakiwa aweke na guide ya Age ndio hiyo warning inafanya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes hizo nazo pia ni changamoto.
Hiyo ni date ya kumwambia sikutaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamfukuza kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa ukapimwe sio mzima. Kande mwenyewe sizipendi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli man, that's too bad. Dini zinaweusha sana watu kipindi hiki. Wakati ukienda ulaya hakuna hata mwenye time ya kuabudu. People are busy kusaka life. Angalia China hawana cha dini wala nini lakini maendeleo yao yanapaa kwa speed ya supersonic.100% ukweli mtupu mkuu,ila kufa kufaana mkuu hii inshu ya Moshi imeshazima soo la Makonda tayari.
Wiki nzima tutajadili hili jambo la Moshi waziri mkuu ataunda tume then mchezo umeisha hapo.
dodge
Hilo ndio tatizo, wanajua huku life ni rahisi sana. Ukiwa China utasikia niletee simu huko si zakuokota tu.Bongo watakufelisha tu wakijua umetoka mbele basi matatizo yao utabeba ww tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniacha hapo kwenye LSV [emoji4][emoji4] ujue!The thing contains LSV
dodge