JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu huku kuna maexpert waliobobea kwenye hiyo fani. Tena hufanya bila aibu. Utasikia I'm bored let me go and masturbate. View attachment 1343919

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ila waliotoa huo ujumbe pia si wa mchezo mchezo maana wamesema ' Please go home and masterbate if your bored",hahah nadhani nao pia ni member wa chama la wana.

dodge
 
Hahah chips yai wanaisingiazia tu mkuu,siku hizi watu wanakula mpk mahindi ya kuchomaa yaliyowekewa chumvi,pilipili,limao na madiko diko kibao.

Matokeo yake ndo hayo sasa mkuu.View attachment 1343922

dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo si ugali ukifika tumboni mzee wangu mahindi na mboga mboga hizo tena unaweka maji game over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
20200201_221039.jpeg
 
Back
Top Bottom