JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kweli mkuu,sometimes changamoto hizo zinawafanya watu wahisi mpk wamerogwa/wana mikosi.

Si umesikia huko Moshi wamekufa watu 18 usiku wa leo wakigombania mafuta ya upako kanisani.

dodge
Nimesikia mkuu, inasikitisha sana. Hiyo yote ni umaskini, ukosefu wa elimu pamoja na kukata tamaa. Watu sasa wameweka matumaini yao kwa wahubiri kwa kudhani kuna muujiza utatokea. Too sad indeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikia mkuu, inasikitisha sana. Hiyo yote ni umaskini, ukosefu wa elimu pamoja na kukata tamaa. Watu sasa wameweka matumaini yao kwa wahubiri kwa kudhani kuna muujiza utatokea. Too sad indeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
100% ukweli mtupu mkuu,ila kufa kufaana mkuu hii inshu ya Moshi imeshazima soo la Makonda tayari.

Wiki nzima tutajadili hili jambo la Moshi waziri mkuu ataunda tume then mchezo umeisha hapo.

dodge
 
Hahah kama kuna majini mahaba ya kike huko chooni basi yatakua yalikua yanawafaidi kichizi.

dodge
Kuna mto tulikuwa tunaoga juu, jamaa wapo busy kufanya mashindano ya nani atawahi kucheuwa, halafu zile zinakwenda na maji huko chini wanaogaga mademu. Unaweza kuta kuna waliokuwa wanapata ujauzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom