JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kila kitu kina faida na hasara mkuu. Mi mwenyewe nataka nijichukulie ujiko kwa semu flani nimemualika lunch. Nikamwambia najua kupika kinoma. Nitamtolea chipsi yai dadeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuona chips yai kaona majabu kweli yaan hapo ndio ulipo jichukulia max zako [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna movie flani niliiona nadhani ilikua ni Blue Streak ya Martin Lawrence kama nakumbuka vzr(Martin alikua juu ya dar ana inshu zake tu,mara kuchungulia kwa chini hapo ofisini akamuona jamaa sijui ni boss wake anavuta mafuta kwny droo akapiga zake selfie hapo hapo kwny kiti chake fresh kabisaa,sasa jamaa alivyoshuka juu ya dari akakutana na yule boss mlangoni na akapewa mkono(kusaliwa) daah martin akawa anakumbuka alimuona boss akipiga selfie na huo huo mkono daah ilibidi azuge kuukata ule mkono ki-style hahah),hio scene hua inanichekesha sana.
Afadhali angeenda hata toilet akapiga self yale akimaliza anarudi kwa ofisi akiwa mwepesi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Martin ajawahi kuwa serious kabisa.
Kuna movie flani niliiona nadhani ilikua ni Blue Streak ya Martin Lawrence kama nakumbuka vzr(Martin alikua juu ya dar ana inshu zake tu,mara kuchungulia kwa chini hapo ofisini akamuona jamaa sijui ni boss wake anavuta mafuta kwny droo akapiga zake selfie hapo hapo kwny kiti chake fresh kabisaa,sasa jamaa alivyoshuka juu ya dari akakutana na yule boss mlangoni na akapewa mkono(kusaliwa) daah martin akawa anakumbuka alimuona boss akipiga selfie na huo huo mkono daah ilibidi azuge kuukata ule mkono ki-style hahah),hio scene hua inanichekesha sana.

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ukiweza fanyia marketing hio kitu,then ukienda kwny interview lile swali la 'Sell me this Pen' nadhani wala hauta hangaika nalo,uta excel kwa more than 100% mkuu hahah.

Unaweza pewa nafasi ya uhamasijashi. Unatembea na ile invention ya nzi ukionyesha utendaji kazi wake murua bila madhara kama jamaa alivyoeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Ntakuwa supervisor wake. Itabidi atafute sample yake ya kutest hiyo invention then akifanikiwa analamba PhD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chama kina mtegemea na sasa matumaini ya wananchi kayabeba yy nategemea hatotuangusha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah chips yai wanaisingiazia tu mkuu,siku hizi watu wanakula mpk mahindi ya kuchomaa yaliyowekewa chumvi,pilipili,limao na madiko diko kibao.

Matokeo yake ndo hayo sasa mkuu.
Umesahau na vitambi [emoji23][emoji23][emoji23] mara kukosa nguvu zakiume inaleta in short ni majanga imeleta epe yai.

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1531941320865.jpeg

dodge
 
Back
Top Bottom