JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aikoooo... Ni Mida ya sala na Maombi hiyo...Taifa magotini na mabegani 🤣🤣
Au usije ukawa unaishi ughaibuni halafu unatamba ukiwa huko ni mchana halafu unasomeka usiku mzito

Maana kuna mtu alitoa ushahidi anakesha na mtu kumbe demu kwao huko Australia ni mchana wa saa sita 🤣🤣
 
hawa watu wa Codes lounge nani kawaambia wanitumie sms za ukaribisho kwenye uzinduzi wao🤔,,
 
Back
Top Bottom