Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Hapo kwenye kukumbushia pagumu.
Fanya ukumbuke mwenyewe itapendeza zaidi.
Fanya ukumbuke mwenyewe itapendeza zaidi.
Hahaaa acha tu ksma nyumba za wanajumuia zoko mbali ni kisanga kubeba viti kama 20 mwenyewe.Aaah kwanza huo msako wakubeba viti sio mchezo
Unabeba viti karibia ishirini halafu unavitoa mbali kinomaa. Aah hua hawanionagi tu navyo maindi
It's Scars
Niwe mkweli katika vitu vimenikslia upande ni jumuia.. Sababu kuu ni asubuhi. Mimi asubuhi ninia alergy na baridi aseee..
Mm muda sana miaka 10 inafika kabisa.Mara ya mwisho ilikua nyumba 3 kutoka nyumbani kwetu. Approximately kama wiki 3
Rozali mm ndio napenda sana sasa na siwezi sinzia kabisa.Kiboko ya usingizi ni kusali rozali.. lazima ulale tu[emoji23][emoji23]
Kama elfu 3000 lete maana mm yangu haizidi hapo [emoji23]
Kufagia nakua mgumu kidogo na hilo swala maza analijua, kuna siku niliepuka msala wakubeba viti kwa kulala kwenye geto la mshkajiHahaaa acha tu ksma nyumba za wanajumuia zoko mbali ni kisanga kubeba viti kama 20 mwenyewe.
Asubuhi kuamka kufagia na kupanga vitu
Aaah kwanza huo msako wakubeba viti sio mchezo
Unabeba viti karibia ishirini halafu unavitoa mbali kinomaa. Aah hua hawanionagi tu navyo maindi
It's Scars
Hii kitu inabidi unieleze vizuri masna kuanzia kwenye unyayo ni wabaridi sana na mapaja. Hafu hua sisikii joto maisha, ila kwenye baridi nateseka.Allergy yako nimeipenda.
[emoji23][emoji23][emoji23] unataka unnunue na unga, sukari, mafuta ya kula na mchele kabisa au utaweka bando kwajili ya movie?Ongeza hata ka 0 kamoja basi
[emoji23][emoji23][emoji23] bora ungekuja pm umeshindwa kujiongeza umefail.
Shetani hua anajichukulia point ukiamka usiku usali roazli unajikuta asubuhi rozali umeitupa hafu hujui ulisinzia vipiRozali mm ndio napenda sana sasa na siwezi sinzia kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha uhuni we mwanamke.Ndio nimeomba ruksa.
Unajua PM bila ruksa Jukwaani unaweza kutana na maza au mshua
Mm muda sana miaka 10 inafika kabisa.
Kwani Baharia Wa Buza anasemaje kuhusu jamaa?inasemekana eti yule baharia ni kutoka buza [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisha mwambia kua kwanini msiunde kamati ya ubebaji viti kwenye hiyo jumuiya?Mama amekusikia ujue.
Hii kitu inabidi unieleze vizuri masna kuanzia kwenye unyayo ni wabaridi sana na mapaja. Hafu hua sisikii joto maisha, ila kwenye baridi nateseka.