Kokote ulipo kunywa juice mm nalipa ujipongeze gal.
Em fanya majaribio PM tuone ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukisoma ujue machozi lazima yakutoke babu maana huwa inaisha vibaya sana.
Kesho jumuia nyumbani. Nataka kulala mapema ili nismke kupanga viti lakini usingizi umegoma aisee
Nitaitafutia popcorn na juice nzr niwenasoma huku natafuna na kusukumia baba ako [emoji23][emoji23]Ntakutag mkuu ..kitu epic [emoji23][emoji23]
Poa poa njombaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] ukisoma ujue machozi lazima yakutoke babu maana huwa inaisha vibaya sana.
Dah sikumbuki mara ya mwisho kwenda jumuiya lini [emoji22]Kesho jumuia nyumbani. Nataka kulala mapema ili nismke kupanga viti lakini usingizi umegoma aisee
Niwe mkweli katika vitu vimenikslia upande ni jumuia.. Sababu kuu ni asubuhi. Mimi asubuhi ninia alergy na baridi aseee..
Kama elfu 3000 lete maana mm yangu haizidi hapo [emoji23]Nashukuru....maji ya bomba...nikulete bill mwisho wa mwezi [emoji854][emoji6]
Mara ya mwisho ilikua nyumba 3 kutoka nyumbani kwetu. Approximately kama wiki 3Dah sikumbuki mara ya mwisho kwenda jumuiya lini [emoji22]
Rowin kila siku unakuwa Night Shift?
Kiboko ya usingizi ni kusali rozali.. lazima ulale tu😂😂Soma biblia au sali utasinzia
Aaah kwanza huo msako wakubeba viti sio mchezoNiwe mkweli katika vitu vimenikslia upande ni jumuia.. Sababu kuu ni asubuhi. Mimi asubuhi ninia alergy na baridi aseee..
Em fanya majaribio PM tuone ..[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] bora ungekuja pm umeshindwa kujiongeza umefail.Fanya unihadithie niilete kama yangu jukwaani