Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
we sindio unagongelea msumari [emoji419] hili bango [emoji23][emoji23] ausio ww?Sasa umepewa ushauri na muhusika.mimi ni nani hadi nipinge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
we sindio unagongelea msumari [emoji419] hili bango [emoji23][emoji23] ausio ww?Sasa umepewa ushauri na muhusika.mimi ni nani hadi nipinge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi kama mpiga debe.. napiga kelele ila gari likiondoka nabaki stand [emoji4][emoji4]we sindio unagongelea msumari [emoji419] hili bango [emoji23][emoji23] ausio ww?
Thread za mapenzi siwezi andika inayonihusu mm hilo sahau kabisa kwangu ni burudani tu napendelea kuandika vitu vinavyonipa stress siwezi andika mm.Kwani huwa unaandika thread.. ntakufuma tu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] umeshafeli haliwezi kuwa bango hili tena.Mimi kama mpiga debe.. napiga kelele ila gari likiondoka nabaki stand [emoji4][emoji4]
Nzuri mkuu japo ukishare experience pia inasaidia...Thread za mapenzi siwezi andika inayonihusu mm hilo sahau kabisa kwangu ni burudani tu napendelea kuandika vitu vinavyonipa stress siwezi andika mm.
[emoji23][emoji23][emoji23] aah sikuona hiki chakiume kilikuwa.
Saa ya ukutani masaa yameandikwa kinyume
[emoji16][emoji16][emoji16] hayo tuyaeke pending.. siku ya heartbreak mzee unishtue[emoji23][emoji23][emoji23] umeshafeli haliwezi kuwa bango hili tena.
Zawadi yako nikumbushe kukikuchaSaa ya ukutani masaa yameandikwa kinyume
Kalenda, haina mwaka, wiki imeanzia j5,
Vacuum cleaner haina cable
Vitabu chini ya sinki
Bomba za sink haziko sawa
Ufagio kwenye jokofu
Karoti zinaota juu ya ardhi
Mikono ya gauni hailingani
Dirisha kuonyesha usiku
Mlangoni kuonyesha mchana.
Viatu vya mshikaji
Aah embu anza ww kwanza [emoji23] kuandikaNzuri mkuu japo ukishare experience pia inasaidia...
Af nna usingizi arifu, ntapotea ghafla
Upo vizuriSaa ya ukutani masaa yameandikwa kinyume
Kalenda, haina mwaka, wiki imeanzia j5,
Vacuum cleaner haina cable
Vitabu chini ya sinki
Bomba za sink haziko sawa
Ufagio kwenye jokofu
Karoti zinaota juu ya ardhi
Mikono ya gauni hailingani
Dirisha kuonyesha usiku
Mlangoni kuonyesha mchana.
Viatu vya mshikaji
Ntakutag mkuu ..kitu epic [emoji23][emoji23]Aah embu anza ww kwanza [emoji23] kuandika
Frsh babulai kama uko na upotinga usije ukatuandikia mauza uza hapa.
Kokote ulipo kunywa juice mm nalipa ujipongeze gal.Saa ya ukutani masaa yameandikwa kinyume
Kalenda, haina mwaka, wiki imeanzia j5,
Vacuum cleaner haina cable
Vitabu chini ya sinki
Bomba za sink haziko sawa
Ufagio kwenye jokofu
Karoti zinaota juu ya ardhi
Mikono ya gauni hailingani
Dirisha kuonyesha usiku
Mlangoni kuonyesha mchana.
Viatu vya mshikaji
[emoji23][emoji23][emoji23] ukisoma ujue machozi lazima yakutoke babu maana huwa inaisha vibaya sana.[emoji16][emoji16][emoji16] hayo tuyaeke pending.. siku ya heartbreak mzee unishtue