JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23] pole mkuu ndio life. Mimi nikiongea hapa nitatoa siri za kambi ila its not easy af tumeumbiwa uwezo tofauti wa ku_handle situations mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi lia bila sababu kuna cheat zinauma ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mm bhana nikiwa upset nakula kinoma kitakacho pitambele siwezi acha kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi lia bila sababu kuna cheat zinauma ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mm bhana nikiwa upset nakula kinoma kitakacho pitambele siwezi acha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee.. inaonekana heartbreak zako nzuri sana. Usikose kunishtua ikitokea
 
Back
Top Bottom