Yuko likizo
Nilitoka kumtumia mtu song la Heaven sent by Keyshia cole .. af uliponiambia kuhusu Hero ya Enrique nikafurahia zaidi, old is gold kiukweliUlikuwa kwa radio, ukanirudisha nyuma kidogo....
Habari za huko uliko?“Do not let the behavior of others destroy your inner peace.” —Dalai Lama
[emoji23][emoji23][emoji23] nitakupigia kwajili ya back up usijali.Usijali bro.. ikikufikia usisite kunitafuta, sitorecord ila ntakuokota tu ukigalagala kikambale
Uzuri moro akina njombaaa huwa hamlii sana. Ntaandaa leso chache mkuu wangu usiaibike kwa social media[emoji23][emoji23][emoji23] nitakupigia kwajili ya back up usijali.
Napenda lakini kitendo cha kufikiria suicide ni something else ukiacha utalia, unaumia lakini sio kwamba ndio ukata tamaa hakuna maisha mengine.Ukipenda utaujua huo uchizi hauchagui mtu.
Nilitoka kumtumia mtu song la Heaven sent by Keyshia cole .. af uliponiambia kuhusu Hero ya Enrique nikafurahia zaidi, old is gold kiukweli
Ziba tu mkuu ila sijui utavumilia kutoa likes kwa baadhi ya comments..maana kidogo na wewe ngumu nyeusii
[emoji23][emoji23] mtazamo ni mzr lakini kuna watu hawawezi kuvumilia sasa ukivuruga anakuvuruga.“Do not let the behavior of others destroy your inner peace.” —Dalai Lama
[emoji23][emoji23][emoji23] nililia mara mmoja tu kwenye mapenzi na siku mwambia huyo gal kwamba nilishawahi kulia kwajili yake atajiona special sana.Uzuri moro akina njombaaa huwa hamlii sana. Ntaandaa leso chache mkuu wangu usiaibike kwa social media
Mara nyingi unapoumia sana ni pale unapopawekea expectations kubwa sana bro.. ukipigwa ambush mtu anaweza kuziraiNapenda lakini kitendo cha kufikiria suicide ni something else ukiacha utalia, unaumia lakini sio kwamba ndio ukata tamaa hakuna maisha mengine.
Napenda lakini kitendo cha kufikiria suicide ni something else ukiacha utalia, unaumia lakini sio kwamba ndio ukata tamaa hakuna maisha mengine.
Salama tu mkuu sijui huko ulipo wewe.Habari za huko uliko?
[emoji23][emoji23] pole mkuu ndio life. Mimi nikiongea hapa nitatoa siri za kambi ila its not easy af tumeumbiwa uwezo tofauti wa ku_handle situations mzee[emoji23][emoji23][emoji23] nililia mara mmoja tu kwenye mapenzi na siku mwambia huyo gal kwamba nilishawahi kulia kwajili yake atajiona special sana.
[emoji23][emoji23] tatizo mm siwezagi penda nusu sasa naingia mzima kwahiyo expectations lazima ziwepo sasa.Mara nyingi unapoumia sana ni pale unapopawekea expectations kubwa sana bro.. ukipigwa ambush mtu anaweza kuzirai
[emoji23][emoji23][emoji23] nililia mara mmoja tu kwenye mapenzi na siku mwambia huyo gal kwamba nilishawahi kulia kwajili yake atajiona special sana.
Salama tu mkuu sijui huko ulipo wewe.