Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hii statement ulioandika ni moja ya principal ya maisha yangu respect everyone ni kitu muhimu sana hujui kesho yako ipoje adabu ni kitu chamshingi sana.Kesho hatakuwa Mr perfect tena ni Mr nothing au new beggar in town ngoja kesho aanze maisha tena
Tuishi na watu vizur aisee huwezi jua au huwezi kutegemea yupi atakuwa msaada kwako kwenye tatizo embu ona hao waizi wamekuwa msaada kwangu sikutegemea watanifundishia mtu adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Very wellHii statement ulioandika ni moja ya principal ya maisha yangu respect everyone ni kitu muhimu sana hujui kesho yako ipoje adabu ni kitu chamshingi sana.
Noti 5 za Tsh10,000/-Msimbazi 5 ni aina ya msosi? Nije nakimbia
Kitimoto tena mwamba [emoji23][emoji23][emoji23] nimoja ya kafara hiyo au kujipongeza huko?Itabidi nikaoge maji ya baharini nile na kitimoto 1kg kusafisha nyota ya kukosa PM.
Kisha naanza kumwaga miamala kwa kila PM mdada anakula msimbazi 5 kwa mujibu wa mganga toka Congo.
Sio poa mkuu. Msamehe jamaa na umsaidie pengine ataanza kukuheshimu [emoji23]
Upo active mm nina soft copy ya nida tu nilidownload PDF.Hapana mkuu,nilipata kitambulisho July 2015,usajili line siku ya 2 baada ya tangazo
Usiniambie kuwa ww ni shabiki wa LA?
Hili jambo la msingi sana ktk maishaHii statement ulioandika ni moja ya principal ya maisha yangu respect everyone ni kitu muhimu sana hujui kesho yako ipoje adabu ni kitu chamshingi sana.
Babu hiyo trip nindefu hatari sio poa.Kweli siku hizi zege hailali, nimetoka bukoba nakuja dar, ndio tumetoka Dom tunaisaka moro
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya zifike 50....utanikuta ndaniNoti 5 za Tsh10,000/-
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahhh madeni nigani mkuuKila mtu anamadeni ndio hivyo tumezidiana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mpiga tunguri ni hatariTambiko la kuondoa ukame wa PM.
Huyo mganga ni rafiki wa Mshana Jr
Mwanzo kabisa zoezi lilipozinduliwa na Jk nikaandaa documentsUpo active mm nina soft copy ya nida tu nilidownload PDF.
Shortcut, Toa story ya kuhuzunisha, utahurumiwa tuWaganga Mungu ana waona.
Eti ukiona hupati PM anza kuandika JF mara kwa mara stori za gari yangu imefanya hivi,
Mara nilimuazima gari jirani karudisha chafu,
Kisha andika nyumba zangu sipangishi mtu maskini.
Nilikuwa na dharau moja hatari siku nilipita fundisho nilijua kuwa hela ndio kila kitu inaweza ikafanya naikamaliza shida zote kumbe sio [emoji22]Hili jambo la msingi sana ktk maisha