Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Kadri siku zinavyosogea ndiyo wote wanaenda kwa pamoja.....kama uwanja wa taifa tu,mechi bado nusu saa watu elf 10 wapo nje na kila mtu anataka kuingiaKila mtu anasubiria wengine wapungue...circle of life