Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Salama kabisa mkuu
Salama kabisa mkuu
Hongera sana
Nitajipanga subiri watu wapungue...maana kila siku watu wanafikisha 18 na wanahitaji vitambulisho.Asante mm pia ilikuwa uvivu huo huo nikasema nitaenda sabasaba sikwenda ilivyofika july mwishoni ndo nikajitoa mazma .
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo ule Uzi wa walinzi nasikia
Ukicomment tu nawewe ni mlinziHuu ndo ule Uzi wa walinzi nasikia
Duuh pole sana,ID nilipata enzi za JKAsante mm pia ilikuwa uvivu huo huo nikasema nitaenda sabasaba sikwenda ilivyofika july mwishoni ndo nikajitoa mazma .
Sent using Jamii Forums mobile app
Where u been at?
Mkuu upo?
Mbaki salama
Kila mtu anasubiria wengine wapungue...circle of lifeNitajipanga subiri watu wapungue...maana kila siku watu wanafikisha 18 na wanahitaji vitambulisho.
Duniani tuWhere u been at?
Duuh pole sana,ID nilipata enzi za JK
Alive[emoji6]Mkuu upo?
NakusubiriUmenifurahisha sana.
Mekumisss pia.
Nakuja PM nikupatie Diet ya kufa mtu
Zinae wengi mwisho 2028Huwa zina mwisho wa matumizi?