JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Walipo kuwa wanafunzi wa yesu hawa kufanya tena hizo kazi na unajua hayo maandiko yalitoka wapi ya kuwa wanafanya kazi ya kumtumikia mungu wasifanye shughuli nyingine yeyote na ndio maana watu wa Roman ma padre wetu hawaoi wala kufanya shughuli nyingine ni kumtumikia mungu tu soma vitabu usipende kusambaza tu hizo quote ambazo zinaandikwa na watu wasiojua hv vitabu.
 
Oooh okay
 
Back
Top Bottom