JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mmh unajua raha ya kukaa peke ako ww ?
Mm niko na mixed personality
Ni mcheshi mno ila kwa watu niliwazoea
Talkative
Shy
I do enjoy being me ngoja niishie hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
mm napenda social sana hata O level nilipewa uwaziri wa hiko kitengo [emoji38][emoji38][emoji38]

Kukaa pekeyangu ndio kitu huwa nachukia sana kwenye hii dunia.
 
Jaza nafasi uliyoacha wazi mzee mwenzake.

#PastPapersHutoiNaHutakiTuibie[emoji3]
Mzee kama haupo vile,unatokea kwenye pasi za mwisho kama Kevin de bryune [emoji2][emoji2]

#TatzoUkipewaUigilizie
#UnatakaUcopyHadiJina [emoji23][emoji23]
 
Mzee kama haupo vile,unatokea kwenye pasi za mwisho kama Kevin de bryune [emoji2][emoji2]

#TatzoUkipewaUigilizie
#UnatakaUcopyHadiJina [emoji23][emoji23]
ayn1B0W_460s.jpg

😀😀😀😀😀
 
Nope naonekana nina dharau au npo serious , mm nacheka ninao wajua tu km sikujui npo kimya tu .
Sipendi hayo maisha ila ndo tamaduni yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi badilika hiyo ndio nature yako na huwezi kuikimbia kila mtu huwa anamtazamo tofauti kwakile anachokiona kuna wengine wanaweza kukuona hivyo na wengine wasikuone hivyo.
 
Back
Top Bottom