Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,668
- 96,523
ndio naamka,wangu ninywe hata supu kisha nizimuenakuonea gere yan ndo unaamka saivi?
ndio naamka,wangu ninywe hata supu kisha nizimuenakuonea gere yan ndo unaamka saivi?
hahahahaha.mlango wako wa getimlango upi tena tresor
ok hamna shida, enjoyndio naamka,wangu ninywe hata supu kisha nizimue
😆😆hahahahaha.mlango wako wa geti
Huu ni usiku win au upo nchi za wazungu 😁1026
nipo malawi dosho wangu😄😄😄Huu ni usiku win au upo nchi za wazungu 😁
Mlango gani wa geti wa win-one ,kuna ambao upo mwilini na kwa nyumba,ulimaanisha mlango upi?🤣🤣hahahahaha.mlango wako wa geti
mlango wa mwilini ndo upoje huo Ertugrul Bey mbona mi naujua mlango wa nyumba pekeake😄Mlango gani wa geti wa win-one ,kuna ambao upo mwilini na kwa nyumba,ulimaanisha mlango upi?🤣🤣
Nahisi ule ambao watoto wanatokea kama sojakosea🤣🤣🤣mlango wa mwilini ndo upoje huo Ertugrul Bey mbona mi naujua mlango wa nyumba pekeake😄
khee mi sikuwaza huko kabisa loh🤣🤣🤣,,, akirudi nitamwambia umesema aache kupindisha mambo anatakiwa kunyooka kama moja💃Nahisi ule ambao watoto wanatokea kama sojakosea🤣🤣🤣
Kwahiyo next time mwambie Tresor Mandala anyooshe maelezo aache janja janja
hahahaha,ulijuaje ndio naamka hapanaona Tresor Mandala umezimua mpka ukazima😄😄
hahahahaha,wa nyumba mkuuMlango gani wa geti wa win-one ,kuna ambao upo mwilini na kwa nyumba,ulimaanisha mlango upi?🤣🤣
nimejua kwasababu uliagahahahaha,ulijuaje ndio naamka hapa
hapa sasa njaa,nipe ugali nyama choma na kachumbari ,maji mengiiiinimejua kwasababu uliaga
eeeh mi huku nishakula ka ugali kangu na dagaa mchele mixer mlenda kitumbo kimejaahapa sasa njaa,nipe ugali nyama choma na kachumbari ,maji mengiiii
si ungeniita bebi ,nije kula ugali mlendaeeeh mi huku nishakula ka ugali kangu na dagaa mchele mixer mlenda kitumbo kimejaa
nimekuita ila ulikua umezima😥,,si ungeniita bebi ,nije kula ugali mlenda
dah, kweli nilizima, umenishindisha njaa, ila sio kesinimekuita ila ulikua umezima😥,,
narudi jikoni kukupikiadah, kweli nilizima, umenishindisha njaa, ila sio kesi