JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kidogo ila nimependa story imekaa kitu uzima sio kama 6 undergrounds[emoji38] utt mwingi
Utt wa 6 undergrouds ni upi pale? nimeiona ipo vizuri, japo sikuimalizia inachanganya, flashback zimekuwa nyingi sana

code 8 bado naitafutia muda,
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116]View attachment 1312660
ha ha hii sijaiangalia kabsa,huwa napata uvivu sana kuangalia movie ambazo zinatrend, yaan zile ambazo zinazungumziwa sana...mwisho wa siku huwa najikuta na mimi nmetizama kutoka kwenye masimulizi ya watu wangu wa karbu.. mfano mzuri ni black pather,, nmeiangalia kupitia simulizi za washikaj tu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom