JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

ha ha hii sijaiangalia kabsa,huwa napata uvivu sana kuangalia movie ambazo zinatrend, yaan zile ambazo zinazungumziwa sana...mwisho wa siku huwa najikuta na mimi nmetizama kutoka kwenye masimulizi ya watu wangu wa karbu.. mfano mzuri ni black pather,, nmeiangalia kupitia simulizi za washikaj tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Loh mm zinazo trend ndio zangu hizo lazima twende sawa na watu wakidunia.
 
.
FB_IMG_1578171035864.jpeg
 
Loh mm zinazo trend ndio zangu hizo lazima twende sawa na watu wakidunia.
Ha ha basi tunatofautiana bro, sio kwamba sifatilii hizi latest latest la hasha naangalia ila zikizungumziwa sana, nakuwa mzito kaungalia maana unakuta kila kitu anaizungumzia hyo movie tu..

Umeangalia The Courier?ni movie nzuri lakn hajazungumziwa kiasi hicho..ila iko poa sana
 
Sijaangalia mm hiyo.
 
Back
Top Bottom