Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
[emoji2][emoji2][emoji2] unaona sasa,jamaa tayal kazingua hapoView attachment 1312672
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2] unaona sasa,jamaa tayal kazingua hapoView attachment 1312672
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Poa, dracula ni horror type?Black n blue kwangu
😀😀😀😀😀 huyo sio jamaa, ni mzee mwenzako[emoji2][emoji2][emoji2] unaona sasa,jamaa tayal kazingua hapo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mzee mwenzangu, kwenye matukio kama haya huwa hafeli,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo sio jamaa, ni mzee mwenzako
Yes horror, action vamps kabisaPoa, dracula ni horror type?
Angalia Alita [emoji2]Yaan niko naangalia hii Godzilla - king of the Monster sielewi kabisa naona Gb zangu nilizichoma bure kabisa [emoji22][emoji22][emoji22]
Haoana ila habar za kifo cha mtu live mm siwezi angalia[emoji23][emoji23] aisee, kwann? Hamna kila kitu
Sasa hivi nipo nafatilia vagabond...naenda nayo mdogo mdogoYes horror, action vamps kabisa
Uje nikupe adhabu yako yakutokutokea lindoniYes horror, action vamps kabisa
[emoji38][emoji38]godzilla ni[emoji706] mm nilikua naona toy 2 zinapiganaYaan niko naangalia hii Godzilla - king of the Monster sielewi kabisa naona Gb zangu nilizichoma bure kabisa [emoji22][emoji22][emoji22]
Mwambie arudie hata vallerian huko[emoji38]Angalia Alita [emoji2]
[emoji25]usije kunipa ngumu nikafa tuUje nikupe adhabu yako yakutokutokea lindoni
Nilishamuona huyo robot.Angalia Alita [emoji2]
Mm nna swamp thing, wu asassuns nasubir season2Sasa hivi nipo nafatilia vagabond...naenda nayo mdogo mdogo
Ni upuuzi hii hakuna movie hapa acha ni bandike nyingine.[emoji38][emoji38]godzilla ni[emoji706] mm nilikua naona toy 2 zinapigana
Kufa hufi ila chamoto utakiona.[emoji25]usije kunipa ngumu nikafa tu
Bot mzuri kuliko mm binadam jaman[emoji24]Nilishamuona huyo robot.
Hahaha woooi angalia hata comedyNi upuuzi hii hakuna movie hapa acha ni bandike nyingine.
Mwana alimpenda alafu anakufa kigaidi vile ilikuwa inaumiza [emoji22]Bot mzuri kuliko mm binadam jaman[emoji24]