chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Mh misa ya ngapi?Okay, sawa. Utaniamsha.
Natumaini shetani wa visingizio hatokupitia
Mh misa ya ngapi?Okay, sawa. Utaniamsha.
Kukusanya sadaka? Kesho nakujaKaribu sana mkuu
Kuna mtu tupo twachangia mada kwa binary ndio nikawa nimekosea.. nikajikuta Quote yake naileta humu.. ila nimefuta
Mh misa ya ngapi?
Natumaini shetani wa visingizio hatokupitia
Saa 6 ndio linatakiwa lianze sema sheria hatupendi fuata kabisa.Nilijua linaanza saa sita. Ngoja niandae nguvu [emoji4]
Itabidi walinzi tuwe tunasimuliana na ukuu wa Mungu katika yale aliyotufanyia ili tusisinzie tukiwa lindoni na kukuza imani zetu
Mkuu unakaguliwa unapoingia na unapotokaKukusanya sadaka? Kesho nakuja
MTC | 101| [emoji769]
Wewe mtu leo hujazungusha sana mipira hapa umefichwa kabisa sijaona fujo zakoSaa 6 ndio linatakiwa lianze sema sheria hatupendi fuata kabisa.
Lako lilitaka kufanana na jina nilipendalo "Aurelia "
Utakaponiamsha ndo hapo hapo naenda misa ya karibu
Isimamishe mvua kwa kunyosha mkono kama yesuUpande wangu kuna mvua
AluuuuuNawasalimia tu[emoji2210]
Itabidi walinzi tuwe tunasimuliana na ukuu wa Mungu katika yale aliyotufanyia ili tusisinzie tukiwa lindoni na kukuza imani zetu
Itabidi walinzi tuwe tunasimuliana na ukuu wa Mungu katika yale aliyotufanyia ili tusisinzie tukiwa lindoni na kukuza imani zetu
Haya nitafanya hivyo
Nifanyie mpango namimi nibadilishe hili langu[emoji6]Naam ila hili litadumu wiki 1 au 2. Then Davinci or Denvers will be back
Ooh, okay.
Nilishakwambia pia kwamba nalipenda, unakumbuka?