Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Nawasalimia tu[emoji2210]
Hatutakiiii
Nawasalimia tu[emoji2210]
Sawa tuHatutakiiii
Yupi?Poa, msalimie shemeji yangu.
Sawa tu
Yupi?
Mdogo yule, C.
Zimefika bila shaka
Wale simba wenzangu vipi mpo..
Roho mtakatifu kanigusa kwa namna yake mate nsona kuna kitu anataka nifikishe hapa mate, usicheze mbali utaokota kituNaona mate roho ya kitakatifu imekuingia zaidi leo
Saa 6 ndio linatakiwa lianze sema sheria hatupendi fuata kabisa.
Hahaha zote huwa zinafika ukimuuliza atakwambiaNtauliza kama salamu zangu zinafikaga.
Safi kama nakuona, unavyofill uwepo wa Mungu
Hahaha zote huwa zinafika ukimuuliza atakwambia
We acha..Tupo kinyonge sana
🦁🦁Wale simba wenzangu vipi mpo..
Hakika imekua imani yako imekuponya mkuuMbu nawaamuru Acheni kungata kwa jina la Yesu kristo..
Damu ya Kristo iwaondoe na kunifunika[emoji123][emoji123]