Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Sawa ila walivyokuwa wanaingia kwa mbwembwe uwanjani utafikiri la maana litakwenda kutendeka[emoji57]
Hahaha, ndo mpira wa kwenda na matokeo mfukoni.
Tutajirekebisha game ijayo
Sawa ila walivyokuwa wanaingia kwa mbwembwe uwanjani utafikiri la maana litakwenda kutendeka[emoji57]
Ila nawe tupo wote humu kitambo sana... HongeraHongera sana kwa hilo
Hahaha, ndo mpira wa kwenda na matokeo mfukoni.
Tutajirekebisha game ijayo
Ameni!“Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi”
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na wewe uje uwe mzee wa kanisa sasaAmeni!
Kama sio mama mchungaji wewe basi fanya hima uwe hivo[emoji4][emoji4]
Napenda sana hii style ya kuwa lindoni huku tunapitia biblia na masomo yake,muongozo wa kitabu takatifu, maana vita sio vya nyama pekee bali na kirohoZaburi
Mlango 27
1 BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu,Nimwogope nani?BWANA ni ngome ya uzima wangu,Nimhofu nani?
2 Watenda mabaya waliponikaribia,Wanile nyama yangu,Watesi wangu na adui zangu,Walijikwaa wakaanguka.
3 Jeshi lijapojipanga kupigana nami,Moyo wangu hautaogopa.Vita vijaponitokea,Hata hapo nitatumaini.
4 Neno Moja nimelitaka kwa BWANA,Nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANASiku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA,Na kutafakari hekaluni mwake.
5 Mradi atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya,Atanisitiri katika sitara ya hema yake,Na kuniinua juu ya mwamba.
6 Na sasa kichwa changu kitainukaJuu ya adui zangu wanaonizunguka.Nami nitatoa dhabihu za shangwe hemani mwake;Nitaimba, naam, nitamhimidi BWANA.
7 Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia,Unifadhili, unijibu.
8 Uliposema, Nitafuteni uso wangu,Moyo wangu umekuambia,BWANA, uso wako nitautafuta.
9 Usinifiche uso wako,Usijiepushe na mtumishi wako kwa hasira.Umekuwa msaada wangu, usinitupe,Wala usiniache, Ee Mungu wa wokovu wangu.
10 Baba yangu na mama yangu wameniacha,Bali BWANA atanikaribisha kwake.
11 Ee BWANA, unifundishe njia yako,Na kuniongoza katika njia iliyonyoka;Kwa sababu yao wanaoniotea;
12 Usinitie katika nia ya watesi wangu;Maana mashahidi wa uongo wameniondokea,Nao watoao jeuri kama pumzi.
13 Naamini ya kuwa nitauona wema wa BWANAKatika nchi ya walio hai.
14 Umngoje BWANA, uwe hodari,Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.
Asante!Ila nawe tupo wote humu kitambo sana... Hongera
Lindo leo hakuna kuni kuna baridi kimtindoNaam muhenga mwenzangu
Mkihitaji mkusanya na mtunza sadaka nipoNa wewe uje uwe mzee wa kanisa sasa
Sisi walinzi imara tumejipanga na vita za aina zote.. Physically and Spiritually. Pia mentallyNapenda sana hii style ya kuwa lindoni huku tunapitia biblia na masomo yake,muongozo wa kitabu takatifu, maana vita sio vya nyama pekee bali na kiroho
Sasa hivi
Kesho misa
Napenda sana hii style ya kuwa lindoni huku tunapitia biblia na masomo yake,muongozo wa kitabu takatifu, maana vita sio vya nyama pekee bali na kiroho
Karibu sana mkuuMkihitaji mkusanya na mtunza sadaka nipo
MTC | 101| [emoji769]
Kazi na dawa mkuuNapenda sana hii style ya kuwa lindoni huku tunapitia biblia na masomo yake,muongozo wa kitabu takatifu, maana vita sio vya nyama pekee bali na kiroho
Naam ila hili litadumu wiki 1 au 2. Then Davinci or Denvers will be backAsante!
Mwaka huu umeamua kutuibukia na jina jipya?