Kabisa kakaNdio nimeanza kupasha, naona juzi mlikua Mao pale mnapasha viungo na Dr Shein
MTC | 101| [emoji769]
Ni kosa la jinai kufungua lindo kabla ya muda. Mpaka tuweke mbiu yetu ile ya lindo..
Moro mbona karibu, kuna mabasi kibao yanakuja siku ya mechi.
Salama kabisa mdogo wangu... tunywe kahawa kidogo tukisubiri muda
Salama kabisa mdogo wangu... tunywe kahawa kidogo tukisubiri muda
Upo vizuri mfanyakazi bora wa mwezi dec/2019 to January/2020
Kwamba ulikua unasubir usiku uingie uingie lindoni, kazi ya mateso hii mkuuAfadhali
Itakua stress za school fees na kodi ya nyumba. Usingizi nausikia kwenyr taarifa ya habariUpo vizuri mfanyakazi bora wa mwezi dec/2019 to January/2020