JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kwa atakayewea ku-Decode..Msaada tutani
mm.png


close.png




A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi
Tagsintelligence smart teknolojia

Prev
JUMP TO NEWWATCH
•••
[IMG alt="Frankenstein"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/401/401770.jpg?1578061564[/IMG]
Frankenstein
JF-Expert Member

19 minutes ago
SweetieLee

QuoteReply
ReportEditDelete

[IMG alt="Beira Boy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/379/379829.jpg?1568714678[/IMG]
Beira Boy
JF-Expert Member

10 minutes ago

Sikuwa na namba yake japo tulikuwa tunachat pm

Pamoja na mwanadada @j'jes naye simuon hata pm huwa hajibu sikui wako wapi watu hawa

Sent using Jamii Forums mobile app

ThanksQuoteReply
Report
[IMG alt="kili255"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/484/484476.jpg?1570720473[/IMG]
Kili255
Member

6 minutes ago

Mkuu intime, patience na right technology inaweza wezekana, kila kitu ni energy.
Kwenye uhalisia universe is made of balance nikimanisha positive and negative kwa time ni clockwise and anticlockwise with right tech we could explore these two.


Sent using Jamii Forums mobile app

ThanksQuoteReply
Report
[IMG alt="BOB OS"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/63/63259.jpg?1566314640[/IMG]
BOB OS
JF-Expert Member

2 minutes ago

01110011 01101000 01110101 01101011 01110010 01100001 01101110 01101001 00101100 01000001 01001001 00100000 01101110 01101001 00100000 01110000 01100001 01101110 01100001 00100000 01110011 01100001 01101110 01100001 00101100 01101001 01101101 01100101 01100111 01110101 01110011 01100001 00100000 01101011 01101001 01101100 01100001 00100000 01110011 01100101 01101011 01110100 01100001 00101100 01101011 01110111 01100001 00100000 01101011 01101001 01100110 01110101 01110000 01101001 00100000 01000001 01001001 00100000 01101110 01100100 01101001 01101111 00100000 01100110 01110101 01110100 01110101 01110010 01100101 00100000 01101001 01110100 01100001 01110110 01111001 01101111 01101011 01110101 01110111 01100001 00100000 01101101 01101001 01110100 01100001 01101101 01100010 01101111 00100000 01111001 01101111 01110100 01100101 00100000 01101001 01110100 01100001 01101011 01110101 01110111 01100001 00100000 01101001 01101110 01100001 01101010 01101001 01100101 01101110 01100100 01100101 01110011 01101000 01100001 00100000 01111001 01100101 01101110 01111001 01100101 01110111 01100101 00101100 01101110 01100001 00100000 01110101 01101010 01101001 01101111 00100000 01110111 01100001 00100000 01110001 01110101 01100001 01101110 01110100 01110101 01101101 00100000 01100011 01101111 01101101 01110000 01110101 01110100 01100101 01110010 00100000 01110100 01110101 01110100 01100101 01100111 01100101 01101101 01100101 01100101 00100000 01010011 01110101 01110000 01100101 01110010 00100000 01100001 01101110 01100100 00100000 01110101 01101110 01110000 01110010 01100101 01100100 01101001 01100011 01110100 01100001 01100010 01101100 01100101 00100000 01000001 01001001
Kwema mzee ? Hizi binary za nini tena ?
 
“Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi”
Zaburi 127:1-2

😀😀😀😀😀😀😀
 
“Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi”

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umebeba kwenye kitabu gani hili neno la uzima
 
“Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi”

😀😀😀😀😀😀😀
Zaburi
Mlango 27
1 BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu,Nimwogope nani?BWANA ni ngome ya uzima wangu,Nimhofu nani?
2 Watenda mabaya waliponikaribia,Wanile nyama yangu,Watesi wangu na adui zangu,Walijikwaa wakaanguka.
3 Jeshi lijapojipanga kupigana nami,Moyo wangu hautaogopa.Vita vijaponitokea,Hata hapo nitatumaini.
4 Neno Moja nimelitaka kwa BWANA,Nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANASiku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA,Na kutafakari hekaluni mwake.
5 Mradi atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya,Atanisitiri katika sitara ya hema yake,Na kuniinua juu ya mwamba.
6 Na sasa kichwa changu kitainukaJuu ya adui zangu wanaonizunguka.Nami nitatoa dhabihu za shangwe hemani mwake;Nitaimba, naam, nitamhimidi BWANA.
7 Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia,Unifadhili, unijibu.
8 Uliposema, Nitafuteni uso wangu,Moyo wangu umekuambia,BWANA, uso wako nitautafuta.
9 Usinifiche uso wako,Usijiepushe na mtumishi wako kwa hasira.Umekuwa msaada wangu, usinitupe,Wala usiniache, Ee Mungu wa wokovu wangu.
10 Baba yangu na mama yangu wameniacha,Bali BWANA atanikaribisha kwake.
11 Ee BWANA, unifundishe njia yako,Na kuniongoza katika njia iliyonyoka;Kwa sababu yao wanaoniotea;
12 Usinitie katika nia ya watesi wangu;Maana mashahidi wa uongo wameniondokea,Nao watoao jeuri kama pumzi.
13 Naamini ya kuwa nitauona wema wa BWANAKatika nchi ya walio hai.
14 Umngoje BWANA, uwe hodari,Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.
 
Back
Top Bottom