JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

IMG_0125.JPG
 
Then huna cha kuficha na upo real humu. Unajiamini personally. Mimi nina tendency ya kuchat na watu wenye situations ambazo si nzuri na mara nyingi huwa nawafungukia kuhusu life langu black and white. Sasa nikisema niweke jina langu halisi itakuwa mtihani bro
Kitu kimenishindwa ni kufake once nilikuwa hivyo wakati nasoma nikaenda field nafake life nikakutana na watu wanaishi maisha real nayo fake mtu mshahara 650k, 1.5M, 2.5M alafu unapiga nao story [emoji23][emoji23][emoji23] niupuuzi ulikuwa wallah zaid niwako humble sana nikabadilikia hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu. Mambo ya chuo ni kufake kwingi ili kupata acceptance. Inatokea mkuu
 
Back
Top Bottom