kuripoti eneo la kazi mapema ni vizuri ndiyo template za kazi zinatueleza hivyoNi kosa la jinai kufungua lindo kabla ya muda. Mpaka tuweke mbiu yetu ile ya lindo..
We're the watchers of...
January huwa tunaionea sana, ada za watoto unaweka kwenye account zao junior account October hivi ili January isikuaibisheItakua stress za school fees na kodi ya nyumba. Usingizi nausikia kwenyr taarifa ya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mrembo mmoja humu ndani huwa najiuliza anatumia mbinu kuwa hodari katika hili lindo,maana huwa hapitiwi na usingizi kabisa.
Sote wazima mkuu, karibu tenaDah kitambo sijapita humu....natumai ni wazima wa afya wote humu
Tupo km kawa
Wahi mapema kisha kaa tayari mpaka muda ufike.kuripoti eneo la kazi mapema ni vizuri ndiyo template za kazi zinatueleza hivyo
Kuwahi kazini ndio sifa ya mfanyakazi boraNi kosa la jinai kufungua lindo kabla ya muda. Mpaka tuweke mbiu yetu ile ya lindo..
We're the watchers of...
Shukrani mkuu... naona lindo halijapwaya kabisaSote wazima mkuu, karibu tena
Hapa unakua una mess up with work
Kazi za ulinzi ni tofauti kidogo, ukishafika eneo la kazi tayari uko on duty chochote kitakachotokea na upo lindoni utawajibika,Wahi mapema kisha kaa tayari mpaka muda ufike.
Hizi junior account nazo sio vizuri kuzitoa toa hela. Ni vizuri zikaemo siku ukikwama kabisa ndio zitoe tafu.January huwa tunaionea sana, ada za watoto unaweka kwenye account zao junior account October hivi ili January isikuaibishe
Ilikuwa mida ya kulala, leo Simba wamezingua.
Sio mbaya mkuu, ni mwendo wa kupeana vijitiShukrani mkuu... naona lindo halijapwaya kabisa